Yan cm yangu ya promo ya Alcatel zile ndogo za button ..inazingua haiwaki yan nnikicharge pia haingii ....na haiwaki na niliitumia kwa muda ila imeanza kusumbua hivi karibuni...naombeni msaada...
Habarini wakuu, wikiendi nzima mpaka Leo nimekuwa nikihangaika na project ya kutengeneza portable lab power supply and universal power adapter
Katika project yangu hii Nilikuwa nikitumia Dell...
Hii ni Teknologia inayo ziwezesha Computer (Servers) Tofauti kufanya kazi kama computer (Server) Moja. "unlimited number of machines to act as one system"
Hosting solution nyengine (shared...
Naombeni msaada wakuu nina printer tajwa kila nikiprint haiprint inaleta error hii"supply memory"lakini pia kuna wakati inatafuta karatasi,shida inaweza kuwa nin wakuu na solutions yake nini...
Habar Wakuu.
Ninahitaji msaada wa software ya ku unlock file zilizo kuwa compressed in .rar format na zina paassword. Nimejaribu soaftware nyingi lakini zinahitaji kuwa na full version. Yeyote...
Habari waungwana na wana JF, napenda kuwa karibisha kwenye group la Whats App Tanzania Tech hapa utaweza kupata msaada wa kiteknolojia kutoka kwa watu mbalimbali ikiwa pamoja na kupata makala...
anaeuza used monitor ya desktop lower resolution.. plz niwekee namba hapa.. au kama unajua mtu anaeuza iyo used electronics mtonye naitaji.. nipo dar es Salaam..
Sina story nyingi suala langu ni kwamba niko mwanza ninahitaj mtu wa kuinstall php myadmin na apache kwenye laptop yangu mwenye uwezo anicheki 0759212578
Habarini,
Nahitaji kufahamu kwa Dar ni eneo gani wanauza no-test pc, yaani computer ambazo ni mtumba na hazijajaribiwa vifaa vyake. Msaada wakuu anayefahamu zinapouzwa jijini Dar.
Nimeandaa Video za namna ya kuunda tovuti. Video hizi ni kwa ajili ya yeyote mwenye kupenda kujifunza, Video hizi ni kwa ajili ya mwanafunzi aliyeko chuoni au hata yule aliye kwisha maliza chuo...
Nimeandaa Video za namna ya kuunda tovuti. Video hizi ni kwa ajili ya yeyote mwenye kupenda kujifunza, Video hizi ni kwa ajili ya mwanafunzi aliyeko chuoni au hata yule aliye kwisha maliza chuo...
Wakuu Kile Kirusi bado kinapambana Na Mifumo weak ya IT Kampuni ya Usafirishaji ya British Airway wamelazimika Kufuta safari baada ya Mfumo wa IT kufeli katika Sehemu zote walizopo Duniani.
Habar zenu wadau katka sekta ya technology...Baada ya kutamani kwa muda mref sna na mim device yangu kuwa rooted hatimae nlifankisha baada ya itel 1556 plus kuwa rooted .....
Kama tujuavyo...
salaaaaaam,
naombeni msaada wenu jamani, nina laptop dell inspiron 15-3537 tatizo lake inastack sana na pointer ya mouse ina blink muda wote hata kama hamna program nyingi zinazorun kwa muda huo...
Wadau natumia acer android 4.4, tatizo langu ni kwamba sio space ya kutosha kuinstall apps mpya japo nina sd card ya. 16gb but apps haziw installwd humo. Ktk kusearch wanasema cjui nifanye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.