Msaada; Nataka ku-upgrade android version 4.2

dendaboy

JF-Expert Member
Sep 15, 2016
1,085
742
habari wadau natumia jelly bean version 4.2 ni rooted nataka ni upgrade kwenda version 4.4 kitkat ama v5 lollipop ama hata v6 mashamelow ikiwezelana msaada pls
 
Kama ni samsung na ilipata Update waweza kuangalia firmware yake Sammobiles na uka Upgrade kwa Odin!

Kwa kuwa hauja specify simu nafikiri option nyingine ni kutafuta Custom ROM
 
Unaweza kusaidia hizo process za ku update kwa Odin
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom