Nahitaji mtaalamu humu tushirikiane kutengeneza app

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
4,291
2,466
Mimi nina idea ya kile nataka kufanya ila sijui codes za kutengeneza app, so kama yupo mdau humu tukae nimpe idea tuone namna ya kufanya
 
Kwenye codes ndiyo huwa mziki mkuu! Hauna aidia hata kidogo?
Ila nikushauri uanze kukamua kwanza mwenyewe madude kama C, C++ na JAVA HAPO MIE HUWA NAPAELEWA KWA SOFTWARE ZA ANDROID
 
Kwenye codes ndiyo huwa mziki mkuu! Hauna aidia hata kidogo?
Ila nikushauri uanze kukamua kwanza mwenyewe madude kama C, C++ na JAVA HAPO MIE HUWA NAPAELEWA KWA SOFTWARE ZA ANDROID
Nadhani na tutorial zitasaidia pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom