Inawezekana kurekodi video screen ya simu yangu?

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059
Wakuu naomba kuuliza inawezekana nikarekodi video screenyangu ya simu? namaanisha naangalia event live online kisha nairekodi wakati nikiwa naiangalia, inawezekana? na ni program gani au simu ya aina gani natakiwa kuwa nayo?
 
Zipo programme nyingi play store za kufanya hilo ulitakalo. Ila nyingi zinahitaji kifaa chako cha android kiwe ni version 5.0 na kuendelea

Nenda play store type screen recorder
 
Back
Top Bottom