Chemsha Bongo

GISAMBO

JF-Expert Member
Mar 14, 2014
1,185
1,908
Tank Namba ngapi unadhani litakua la kwanza kujaa sio mbaya ukitoa na sababu
7819614d9a8506d77ba6cbc18468c206.jpg
 
1

Kwa sababu hakuna mahusiano yoyote kati ya tank namba 1 na hayo mengine...

Hakuna sehemu inayoonesha kuwa maji yanatoka kwenyw tank namba 1 na kwenda namba 2.

Hivyo tank namba 1 ndio litakuwa la kwanza na la mwisho kujaa
 
Kwa sababu hio ulioitoa ww inamaana hata maji pia hayatakuwa na uwezo wa kuingia kwenye hilo tank la 1 sababu hakuna uwazi unaoruhusu maji kupita
 
1

Kwa sababu hakuna mahusiano yoyote kati ya tank namba 1 na hayo mengine...

Hakuna sehemu inayoonesha kuwa maji yanatoka kwenyw tank namba 1 na kwenda namba 2.

Hivyo tank namba 1 ndio litakuwa la kwanza na la mwisho kujaa

That is on your own mind
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom