Game indusrty

Mar 20, 2017
7
2
Ningependa ku share game fulani nilikuwa nikitengeneza, japo bado haijakmilika nina mpango wa kuiendeleza with time. kwa wale ambao wanaona wanaweza kusaidia development nawakaribisha sana.
Here is a link to the folder-https://1drv.ms/f/s!ArHdHPiw34bx4TI6PZXwZfr8Ub5i
 
here are some screenshots
 
Attachments

  • Screenshot (37).png
    Screenshot (37).png
    203.6 KB · Views: 45
  • Screenshot (52).png
    Screenshot (52).png
    469.4 KB · Views: 40
  • Screenshot (54).png
    Screenshot (54).png
    456.1 KB · Views: 45
  • start page.png
    start page.png
    425 KB · Views: 49
  • Screenshot (56).png
    Screenshot (56).png
    103.9 KB · Views: 38
Naweka booking siku likikamilika ntakuwa wa kwanza kulifanyia trial...usinisahau!
 
Ningependa ku share game fulani nilikuwa nikitengeneza, japo bado haijakmilika nina mpango wa kuiendeleza with time. kwa wale ambao wanaona wanaweza kusaidia development nawakaribisha sana.
Here is a link to the folder-https://1drv.ms/f/s!ArHdHPiw34bx4TI6PZXwZfr8Ub5i
Rekebisha url
 
Safi sana. Mm nilikua napenda sn kufanya hiki kitu. Na nilijifunza kidogo kuitumia hii software ya blender lakini niliona kwangu km kunavitu vingine nakosa nikajaribu kutafuta software yngne ambayo wanaita maya ndio naendelea kujifundisha mm mwenyewe japo vitu vingi vina fanana na blender. Dah! Mkuu uko mbali sn nakupa hongera sn kwa hapo ulipofika mana kazi yake cndongo. Ila lengo langu mm sikutengeneza games lengo langu kutengeneza 3d animation movies.
 
mkuu, mimi naishi na hii ndoto. Mungu ni mwema. Itatimia
 
Safi sn. Namini watatoka watu wengi sn ktk hili. Siku na mm nitarusha kazi yng. Ila kikubwa kushilikiana na kubadilishana utalam. Mm cjasomea hivi vi2 ila namini nakipaji na sana juu yake. Ww uko wapi mkuu.
 
Safi sana. Mm nilikua napenda sn kufanya hiki kitu. Na nilijifunza kidogo kuitumia hii software ya blender lakini niliona kwangu km kunavitu vingine nakosa nikajaribu kutafuta software yngne ambayo wanaita maya ndio naendelea kujifundisha mm mwenyewe japo vitu vingi vina fanana na blender. Dah! Mkuu uko mbali sn nakupa hongera sn kwa hapo ulipofika mana kazi yake cndongo. Ila lengo langu mm sikutengeneza games lengo langu kutengeneza 3d animation movies.
daa asante ase, ni weli nimetumia blender na sio ngumu sana lakini ina bidi uangalie tutorial mbalimbali.
mi niko Arusha na bado nitaendelea na kazi zingine kwa kutumia engine tofauti
 
Kuna jamaa au kikundi huko arusha nilishaona wakifanya hiki kitu pamoja na ww au ww uko peke yk? Niliona walifikia kipindi cha animat na walikua wanatumia zile tags nahisi sijui kitalam wanazitaje lakini hawatumi flem by flem. Dah! Ngoja na mm niendele kukaza kumbe tuko wengi wenye ndoto hizi. Ila kunahaja ya kungana wenye ndoto km hizi ili kupata kitu kilicho bora.
 
Back
Top Bottom