Nimekua nikitumia simu yangu kwa muda wa miezi 11 sasa sija encounter any issue...Ila leo suddenly nimepata message toka Airtel kwamba simu yangu sio halali itafungwa within two days...Nimejaribu kuangalia imei yangu then nkaitrace through TCRA, wenyewe wakaniletea model namba ile ile ambayo ina correspond na simu yangu ila wakaniambia simu yangu imefungiwa wasiliana na mtoa huduma wako (BUT BADO SIMU YANGU INAFANYA KAZI)
Ningependa mtu anipe muongozo what is going on coz sielewi kabisa
Ningependa mtu anipe muongozo what is going on coz sielewi kabisa