fidelis zul zorander
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 685
- 175
wakuu ! external drive aina ya transend imekua very slow kucopy files, file la gb 1 inachukua karibia nusu saa kucopy...nimeformat ila bado tatizo ni hilo hilo ! Msaada tafadhali..
Thank you ngoja nijaribu!Scan then download tera coppy and install it in ur pc, try again to coppy
Huendaikaewa driver znamiss, scan then run driverpack solutionThank you ngoja nijaribu!
Ila tatizo ni kwamba ilikua inacopy na speed nzuri tu bila hata teracopy !...
Kama ni mwanafunzi utakuta assignment zipo kwenye miziki, notes zipo kwenye videos na program zimechanganyika na muvi...Pia jitahidi unavyoweka vitu ndani ya hiyo external uwe unavipanga vizuri kwa maana ya kuweka vitu vinavyohusiana kwenye folder moja sio unatupia tu unakuta folder mara lina video mara lina softwares humohumo kuna documents nyinngine zipo huku nyinngine kule.. Hiyo inapunguza ufanisi wa hdd pia..