Msaada wa haraka unahitajika: bois application selected is corrupt or missing

Socw

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
1,304
2,582
wakuu
natumia laptop aina ya hp elitebook 6930p os ni win 8.1
hivi majuzi laptop yangu imekuwa inagoma kuwaka kwa kupitia power button lakini ukibofya info button inawaka na inaonyesha message niliyoiandika hapo juu kasha inaonyesha kuwa nibonyeze enter ili kuendelea. nikibonyeza enter inawaka na inafanya kazi vizuri na ndiyo naitumia kuandikia uzi huu. sasa msaada wenu unahitajika maana nime google na kuona kuwa bios ni very serious issue na noagopa ku update nisije kukosea na kuiua pc yangu
mawazo yote yanapokelewa kwa moyo mkunjufu
 
wakuu mbona kimyaaa...nasuburi masaada wenu wakuu
 
kuna input device moja hapo haiko sawa,either keyboard au wifi adaptor or other imekaa vibaya
 
kuna input device moja hapo haiko sawa,either keyboard au wifi adaptor or other imekaa vibaya
mkuu umenifumbua macho, kuna siku ilifunguliwa baada ya kufungwa tatizo limeanza
 
Back
Top Bottom