Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Hivi unapo-boost post au page kwa kutumia credit card unalipia malipo halali kabsa I mean pesa au maana unapojaza ile credt card tayari unakuwa umefungua adsacount na unakuta $$ nyingi kwenye...
0 Reactions
2 Replies
878 Views
Habari za mda huu wakuu naombeni msaada wenu katika hili,nina page facebook na leo nilikua najaribu ku boost post yangu ili tangazo langu liwafikie wengi zaidi na sehemu zenyew ni hizi mbili...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Jamani samahani, nina simu yangu ghafla tu haitoi sauti pindi nipigapo simu au kupokea na kuita inaita nimecheki spika zote ziko safi sielewi nini tattizo. Model ya Simu ni HTC one.
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Hello Gentleman and ladies ,naombeni kama kuna mtu anayejua App ya kitabu cha dini ya kiislam Kile cha kuanzia kujifunzia anipe links please. Natanguliza shukrani kwenu, mimi ni RC napenda sana...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Habari za kazi na majukum wadau wa JF, naomba msaada wa ufafanuzi juu ya kuzima hizi sim aina ya smartphone bila sababu mfano ukiwa unapiga picha, unafungua application, unacheza game, upo online...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwenye linki ya android game pes 2017 anisaidie
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Nataka kununua Huawei Smart Phone yenye bei nafuu. Napenda kujua ni Model gani ni nzuri na imara. CC: Chief-Mkwawa
0 Reactions
28 Replies
3K Views
wadau Microsoft office 2010 yangu haidect printer. ni option ya send to note 2010 tu ndiyo iko ready. wenye uzoefu nipeni solution.
0 Reactions
1 Replies
453 Views
Habari ndugu zangu, napenda kuwataarifu waandaji wa mpango kazi wa usambazaji umeme,kama una project ambayo inatekelezeka ya kuhusu Umeme vijijini.njoo PM
0 Reactions
2 Replies
740 Views
Hii simu ni USED imetengenezwa 2014 lakini sasa chakushangaza simu nimejitaidi kuiwekea ujuzi upande wa software mobile imeshindikana . nimefanyanya haya yafuatayo:- 1.Kuflash simu kwa kuweka full...
0 Reactions
1 Replies
781 Views
Habarini humu, Nimejaribu kusearch tv online kwa kuandika jina la channel husika naona sifanikiwi, naomba msaada nifanyeje ili niweze kupata channel yoyote ninayoitaka online?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nina sim tecno w3, ninapotumia internet halafu nikiangalia kwenye internal storage nakuta storage inapungua hadi nifanye ku clear cached data. Hakuna namna ya kuzuia hizi cached data? Nimechoka ku...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Can a drones, robotics and AI saves a TZ agricultural sector from sinking and starvation??? Lets explore how the stuffs works: Automated agriculture ni kilimo cha kisasa kabisa besides na...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Tafadhali Nashida Na Mtaalamu wa Mambo ya Blog Designing and Developing... Kama Ntampata Ntashukuru
0 Reactions
2 Replies
796 Views
Wakuu naomba kuuliza ni application ipi naweza kutumia kuedit background ya pic kua nyeupe. Pia application ambayo naweza edit pic ikawa na quality kama ya pic za ebay au Alibaba Natanguliza shukran
2 Reactions
12 Replies
7K Views
Habari wapendwa natafuta anti virus ya kununua niweke kwenye laptop yangu
0 Reactions
1 Replies
782 Views
Ndugu wana jamii forum nimeibiwa simu yangu aina Ya TECNO W4 Na imei zake nimesahau nifanyeje au ndio imeenda
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Inawezekana ndio unaanza kutumia programu ya WhatsApp au hata pengine ulikua unatumia programu hiyo kwa miaka mingi sasa, lakini pia inawezekana ulikua unakosa kutumia programu hiyo vizuri kwa...
4 Reactions
12 Replies
6K Views
Habarin wakuu samahani kwa mtu mwenye screen ya brackbelly 9860 au fundi mwenye uwezo wa kuunganisha mkanda anisaidie maana imekatika mkanda Natanguliza shukrani Tutafutane in 0755161970
0 Reactions
1 Replies
651 Views
Wanna JF laptop yangu antivirus yake inaisha 19June2014 Je ni lazima nipeleka kwa wanaoweka hiyo antivirus au nikisha nunua toka katika duka la vifaa vya computer naweza weka mwenyeywe. Kama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom