Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habarini wanajamvi. Natumia PC aina ya Toshiba lakini nikiplay nyimbo yeyote kwa kutumia program yeyote na nikiingia YouTube huwa sound haitoki kwenye PC yangu. Nikiplay wimbo kwa kutumia media...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi hakuna app ambayo inaweza kunisaidia kupost labda tangazo au any event kwenye Facebook group, mfano nina tangazo nataka nipost kwenye group za Fb tangazo moja nitume kwenye group labda 100...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Be educated with the electronic world! 1. *PAN* - permanent account number. 2. *PDF* - portable document format. 3. *SIM* - Subscriber Identity Module. 4. *ATM* - Automated Teller machine. 5...
3 Reactions
1 Replies
762 Views
Wakuu nimeibiwa simu mpya kabisa . Yani siku nimeinunua usiku ikaibiwa. Ni simu ya 1.7m. Siwezi sema ni aina gani mana uyo mwizi anaweza kuwa humu. Naombeni ushauri nifanyeje ili niipate. Polisi...
3 Reactions
85 Replies
12K Views
Kuna mashine natakwa kuwekwa windows ila hdd haisomi inaleta ujumbe huu hapo kama picha inavyoonesha natakiwa kufanya nini hapo cc @
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wakuuu Samahani naomba msaada kwa mtu alie DAR na ana FL STUDIO,nimejaribu kudownload site mbalimbali na inakua na reg keys ila nikiinstall inakua DEMO...kwaio NAOMBA MSAADA
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani nisaidien jinsi ya kuinstal os ya mc kwenye pc, i heard ts posbl!!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Huyu mdada (mtoto) abajiita Tunda Nation ninemkuta kule face book anauza simu kwa bei ya chini sana. Kwa mfano 1. Galaxy s6 ni 300000 2. Galaxy j7 prime 350000 3. Galaxy s7 kwa 250000 Jamani kwa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Salama wakubwa...? Mimi nilikuwa naomba ushauri wenu na mawazo yenu mimi nimeanza kusoma kozi ya graphic and video pro..chuo kmoja hapa DSM,ndo kwanza nina wiki kama moja hivi sasa nacho omba...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Salaam wana jukwaa. Mwenzenu nina miaka mingi sana sijasikia habari ya huyu member wa jf a.k.a Transistor yaani sijui yupo hai au vipi naona kimya wala hapatikani hapa katika kuchangia na wala...
0 Reactions
3 Replies
914 Views
Nashindwa ku up load na download photo ktk whatsapp. Nki up load inandika "the file you picked was not a photo" Tecno L5. Naomba mwongozo.
0 Reactions
2 Replies
670 Views
Please mods mnisaidie kuhamishia thread hii jukwaa husika. Jaman naomba msaada wa kujua namna ya kuipata kwenye mtandao ( kudownload) movie ya kihindi ya Andhaa kanoon iliyochezwa na Amitha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimemaliza masomo yangu nasomea coz ya science and laboratory technology kwa ngazi ya diploma. ... Pia wazazi wabataka niache niamie nyngine nijaanze nayo upya coz ya clinical officer. ...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Salamu ndugu na jamaa. Nimepatwa na shida ambayo sielewi kwenye machine yangu Desk Top ya Dell na monitor yake ni Dell. Mchana huu naiwasha inaniambia ENTERING POWER SAVE MODE na baada ya sekunde...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wale wataalam wa simu, nina simu ya tecno y6 ila ina zingua camera zoote kuanzia ya simu yenyewe hadi nilizo download kila nikiingia naambiwa cant connect to the camera. nimejaribu kupunguza vitu...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Ivi kati ya processor yeny sifa quad core 1.2ght cortex A53 na yenye quad core 1.3ghtz cortex A7 hapo yeny speed na nguvu ni ipi?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natumai mu wazima wa afya. Simu yangu ina shida kila napotumia facebook kwa muda mrefu simu inazima ghafla na kuwaka tena. Tatizo hili huambatana na simu kuchemka. So kwa anayefahamu nin tatizo...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Wanajamii wezang natumai mko poa,samahan kwa mwenye sirial no. Za Adobe illustrator naomba anitumie PM au meshack.mathew94@gmail.com.Natanguliza shukrani zang za dhati.Asanten
0 Reactions
1 Replies
806 Views
Habari zenu wanajamii, kama hapo juu nilivyoeleza BlackBerry yangu inashindwa kutambua MENU za mitandao ya simu yaani ukitaka kuuliza salio au kuweka salio ukishamaliza kuweka namba mf. *102# au...
0 Reactions
1 Replies
848 Views
Ivi kati ya processor yeny sifa quad core 1.2ght cortex A53 na yenye quad core 1.3ghtz cortex A7 hapo yeny speed na nguvu ni ipi?
1 Reactions
2 Replies
684 Views
Back
Top Bottom