jose mjasiriamali
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 1,755
- 1,566
Wanajukwaa habari za muda huu. baada ya kuhangaika kwa muda na wezi wa kuku kwenye mabanda yangu, nikakutana na hiki kitu youtube. binafsi nafikiri kitakuwa cha msaada sana kama kitafanikiwa. vipi wakuu hii kitu inawezekana kuitengeneza nyumbani? video hapo chini inaonesha namna ya kuitengeneza.
kuna vitu kama laser yenyewe, nimejaribu kufikiri inapatikana kwenye vifaa gani nikakumbuka kwamba naweza kuipata kwenye DVD player, ila sasa inaweza fanya kazi ambayo mimi nimekusudia au natakiwa kuangalia vitu gani kwenye kuitafuta laser au wapi naweza ipata, pia michoro ya namna circuit inavyotakiwa kuwa ipo hapo chini.
sasa swali langu ni wapi naweza pata
Thanks in advance

- resistor 100 Ohms
- LDR
- Transistor (BC548)
- Laser
- plain printed circuit (pcb) au alternative yake
Thanks in advance