tinno criss
Senior Member
- Jul 3, 2015
- 112
- 56
Naomba Msaada,
Wakija naomba unishtueNaomba Msaada,
Naomba Mniwieradhi Watu Wa Usalama, Hii Post Yangu Si Nzuri Kiusalama,Naomba Msaada,
Naona maluweluwe tu hapa...Naomba Mniwieradhi Watu Wa Usalama, Hii Post Yangu Si Nzuri Kiusalama,
Yaani Ninahaki Ya Kuonekana Mtu Mkosefu Na Ninyi Mnahaki Ya Kunitilia Shaka Juu Ya Hii Post,
Mi Nilipost Hivi Kwa Sababu,
Mi Na Rafiki Yangu Huwa Tunafungua Email kwenye Simu Za Watu, Sasa Rafiki Yangu Alifungua Akaunti Ya gmail Kupitia Namba Yeke Kwenye Simu Ya Mtu, Kumbe Yule Mtu Aliba Ile Simu, Rafiki Yangu Akatafutwa Na Police Na Akashikwa, Kwa Bahati Nzuri Wakaenda Alipotafitwa Yule Mwizi Wa Simu Akapatikana, Hivyo Akalipa,
Sasa Mi Niliuliza Swali Hili Kwa Sababu Ya Huu Mkasa,
Maana Yake Police Walipo M_spy yule Jamaa Walitumia Namba Yake,
Sasa Leo Nimetathimini Na Kugundua Kwamba Hii Post Ni Hatari Kwangu, Sababu Inakila Sababu Za Kujifanya Nionekane Mtu Mbaya, Jamani Mi Si Mtu Mbaya, Naomba Msamahaa Kwa Matumizi Ya Kutilia shaka Wa Watu Wa Usalama Wa Taifa Letu,
Mwandiko wake unafanana na Deo kisanduNaona maluweluwe tu hapa...
Hahaha bora wa deo kisandu, mi naona una fanana na wa mama tibaijuka au yanguMwandiko wake unafanana na Deo kisandu
Nimesoma lakini sijaelewa shida yako nini?Naomba Mniwieradhi Watu Wa Usalama, Hii Post Yangu Si Nzuri Kiusalama,
Yaani Ninahaki Ya Kuonekana Mtu Mkosefu Na Ninyi Mnahaki Ya Kunitilia Shaka Juu Ya Hii Post,
Mi Nilipost Hivi Kwa Sababu,
Mi Na Rafiki Yangu Huwa Tunafungua Email kwenye Simu Za Watu, Sasa Rafiki Yangu Alifungua Akaunti Ya gmail Kupitia Namba Yeke Kwenye Simu Ya Mtu, Kumbe Yule Mtu Aliba Ile Simu, Rafiki Yangu Akatafutwa Na Police Na Akashikwa, Kwa Bahati Nzuri Wakaenda Alipotafitwa Yule Mwizi Wa Simu Akapatikana, Hivyo Akalipa,
Sasa Mi Niliuliza Swali Hili Kwa Sababu Ya Huu Mkasa,
Maana Yake Police Walipo M_spy yule Jamaa Walitumia Namba Yake,
Sasa Leo Nimetathimini Na Kugundua Kwamba Hii Post Ni Hatari Kwangu, Sababu Inakila Sababu Za Kujifanya Nionekane Mtu Mbaya, Jamani Mi Si Mtu Mbaya, Naomba Msamahaa Kwa Matumizi Ya Kutilia shaka Wa Watu Wa Usalama Wa Taifa Letu,
Yamkini ni yeye ametujia na ID nyingineMwandiko wake unafanana na Deo kisandu
Wamekusikia mkuu.Naomba Mniwieradhi Watu Wa Usalama, Hii Post Yangu Si Nzuri Kiusalama,