NATAFUTA VIDEO CARD KWA AJIKIBYA PC YANGU DELL OPTIPLEX 760 i7

Boanerge

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
686
180
Hbr wana jamvi!
Nataka ni upgrade video card ktk Pc yangu ya Dell Optiplex 790 i7 kwa ajili ya graphics hivyo basi naombeni ushauri wenu ni VIdeo card ipi ni nzuri lkn iwe ya VRAM 1GB ama 2GB, na km unayo njoo tuongee biashara
 
Back
Top Bottom