Je huu ni mwisho wa Betri? Utafiti mpya unabaini ndiyo!

Chenchele

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
1,984
2,500
Watafiti sasa wanaweza kuona jinsi gani ions zina ungana ndani ya Supercapacitors...na hii inamaanisha itabadili kabisa jinsi ya kuchaji vitu vya umeme.
f17e8f6e38fa1642ba06f0cda4ae253f.jpg

Ni miaka 200 sasa tangu betri ya kwanza kuundwa na kwa muda wote betri za AAAs zimeonesha uwezo wake katika field mbalimbali remote controls, roboti ndogo na vinginevyo vimethibitisha kufanya kazi kubwa kwa kuwa na betri ndani yake na kila mmoja ameshuhudia umuhimu wa betri kwa miongo kadhaa.


Betri imekuwa kifaa muhimu sana na ndiyo kifaa pekee cha umeme kilicho saidia consuner electrical devices kuwa portable na kutawala soko kuliko desktop devices.

Lakin watafit kutok Cambridge na Ufaransa wamepata njia ni nin kinatokea ndani ya supercapacitor. Betri za kawaida zinatumia muunganiko wa kemikali kuzalisha na kutunza umeme lakn Supercapacitor zenyewe zina hasi(-) na chanya (+) katika ions ndani ya electrolyte ambazo hizi hasi na chanya hujishikiza ukutani mwa electrodes wakati supercapacitor ikiwa inachajiwa.
dbfcaa12fc5c7d5ce3341e32a02e8e2d.jpg

Kitendo cha - na + kujishikiza katik ukuta wa electrodes za supercapacitor kinatokea haraka sana katika muda mchache kuliko muda ambao muunganiko wa kemikali ndani ya betri kuunda umeme na hii ni kaamba supercapacitors zinachajiwa haraka zaidi ya betri.


In short ni kuwa...unapo charge betri ya kawaida kemikali zinaungana kwanza ndipo zinazalisha umeme ambao ni - na +, lakin unapo charge supercapacitor - na + huenda ukutani mojakwamoja na huzalisha umeme.
c3f8ef75cfdc1c45a1245d6c156be6c1.jpg

Technolojia hii inaweza kupoteza kabisa betri za kemikali katika soko na matumizi

Pia katika issue za usalama betri ni hatari kwakua inamemikali amazo zikikumwagikia unajua utam wake...lakn supercaoacitor hazna kemikali


Hapo mwanzo electrical cars zilikuwepo lkn kwa ugumu na muda mwingi wa kuchaji betri bas Fuel car zikadominate soko mpaka leo ingawa soko la electrical cars limeanza kurudi ila kwa mfumo uleule wa chemical betri na hybrid cars...lakin sana utaweza kuchaji muda mfupi charging station kama unajaza mafuta vile ....na wanasema inaweza kuwa mwisho wa fossil fuel cars.

Source: Nature Materials.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom