Invalid Sim on Tecno 342

Daniel Schoter

Senior Member
Jan 12, 2017
114
64
Wakuu simu yangu mpya aina ya Tecno 342 ina niandikia Invalid sim kwa Laini ya tigo tu huku laini Zingine Zikikubali kama kawaida nini tatizo?
Wakuu ni 349
 
Wakuu simu yangu mpya aina ya Tecno 342 ina niandikia Invalid sim kwa Laini ya tigo tu huku laini Zingine Zikikubali kama kawaida nini tatizo?
Wakuu ni 349
Kama ni mpya na ina warranty si urudishe dukan ulikonunulia tu... Ubadilishe sim ingine mkuu..!?
 
jibu ni rahis sana, iyo sim itakuwa ya promotion ya mtandao fln, so line no moja ni lazima uweke ya huo mtandao uliokuuzia , yan kama ni promo ya airtel bas line no moja ni lazima iwe ya airtel then no 2 ndio uweke mtandao mwingine wowote! so iyo ni ya promotion
 
Back
Top Bottom