Msaada katika kompyuta

ndume

Member
Jan 10, 2011
53
2
Kuna mtu nilimwachia kompyuta yangu aina ya lenovo kwa muda, lakini alikuwa afahamu matumizi vizuri akawa anawasha vizuri lakini kwenye kuzima kompyuta hiyo alikuwa anazima kwa kutumia sehemu ya kuwashia na kuzalisha tatizo lifuatalo:-
kwa sasa kompyuta nikiwasha inawaka lakini aimalizi mpaka niizime niwashe tena ndo inawaka nifanye nini kutatua tatizo hilo ili nikiwasha mara moja iwake na sio kurudia.
 
nimebadili window bado hilo tatizo lipo
Litakua ni tatizo la Hardware nadhani.. Sidhani ka Software inahusika apo... Au jaribu kuifanyia "diagnosis" itambue tatizo liko wap.. Otherwise wacheck wataalam wa computer walio karibu nawe.....
 
Kama unaweza ifungue..safisha vumbi kwenye fan na processor..itoe ram na uirudishie vizuri...ifunge iwashe. Pia hiyo window uli upgrade au uliformat na ku instal upya?
 
Kama unaweza ifungue..safisha vumbi kwenye fan na processor..itoe ram na uirudishie vizuri...ifunge iwashe. Pia hiyo window uli upgrade au uliformat na ku instal upya?
nili install upya na nikaformat partition
 
Back
Top Bottom