Hapa umeingiaje au una ID mbiliWakuu naomba msaada wa namna ya kujua password yangu humu JF, au kuunda nyingine tafadhali
Kwenye sehemu ya ku log in tafuta sehemu imeandikwa FORGET PASSWORD?? BONYEZA HAPO UFATE MAELEKEZOKama unajibu si unipe tu Mkuu!!!!!!
Kaangalie maelekezo inbox ya email yakonimejaribu hapo nikaelekezwa kuingiza email kisha nikabonyeza resert password, lakini sikupata ufumbuzi
Inazingua sana.. hata mm nimesahau passwordKwenye sehemu ya ku log in tafuta sehemu imeandikwa FORGET PASSWORD?? BONYEZA HAPO UFATE MAELEKEZO
Fanya kureset passwordInazingua sana.. hata mm nimesahau password