mussa victor
Senior Member
- Jul 12, 2015
- 116
- 162
Habari CS & IT,Nna modem ya AIRTEL nataka nitumie kwa LINE ZOTE(mitandao yote) ntumie njia gan? Msaada tafadhali, natangulza shukran!!
Weka na model number itakua rahis kusaidiwaHabari CS & IT,Nna modem ya AIRTEL nataka nitumie kwa LINE ZOTE(mitandao yote) ntumie njia gan? Msaada tafadhali, natangulza shukran!!