128GB sio za games, ni za workstation. Tanzania wapo watu wana matumizi hayo, hata wewe unaweza ukiamua, just unaeka virtual mashine unarun windows, android, osx, na distro za linux kwa pamoja, unaijaza faster tu hio ram.Kwa huku kwetu haitatumika sana, after all Waafrika si watu wa kucheza computer games kwa sana, tuna ma issue mengi sana vichwani.
128GB sio za games, ni za workstation. Tanzania wapo watu wana matumizi hayo, hata wewe unaweza ukiamua, just unaeka virtual mashine unarun windows, android, osx, na distro za linux kwa pamoja, unaijaza faster tu hio ram.
hapana hizo ni office computer tu, workstation inakuwa na nguvu kuliko computer ya kawaida na hutumika kwenye vitu technical, kufanyia research etc.Ukisema workstation una maanisha sehemu ambayo mfanyakazi anakaa kwenye desk la kazi, si ndio? Yani end user, au?
Nipe mfano wa mfanyakazi ambae kazini kwake kwenye computer moja anatumia Windows, Android, OSX, ma distro mbali mbali ya LINUX.
Software developer?