Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wana JF, Mimi naitwa Amani natokea Forum ya Teknolojia lakini leo nakuja kwenu kwa heshima na taathima nikiwa naomba msaada kwenu madaktari pamoja na watu wengine wote wenye mapenzi na...
0 Reactions
0 Replies
746 Views
Salama wadau Nina nia ya kusoma kozi ya Certified Information System Auditor(CISA). Nataka kujua Mahali zinakotolewa Review class na gharama yake kwa DSM vilevile na gharama za Mtihani.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Granted, it'll likely be years before any real conclusions can be made, let alone actual faster-than-light tests - not to mention that accelerating matter and accelerating light are two entirely...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Umeme ulikatika jana baada ya kurudi nikawasha nakutana na ujumbe huu kila nikijaribu naona mzigo umegoma hapa tatizo nini wazee wezangu naombaa msaada wenu kama picha inavyo onesha CPU NI DELL...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
MegaPyne
Ashish has discovered an excellent online service to convert PDF documents to plain text for free. The service is PDFTextOnline and allows you to convert PDF documents to text online just by...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu nina hiyo pc naitaji kuweka window 10 je itakubali, na itakubali wapi naweza download window, naombeni na link.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimenunua simu Samsung galaxy prime. Nina line ya halotel nataka kuunga data nimeshindwa . nimepiga customer care hawapokei. Wanajamvi mnaojua procedures msaada plse.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu Nimeshafanikisha kupata verification code na kulink kadi je ni lini paypal watarefund hela yangu waliokata almost Dollar 10 nilijaribu zaidi ya mara tano wakuu hvo kila nilipojaribu walikata
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu, nna vyeti vyangu vmescaniwa katika mfumo wa pichs, ila nataka kuvbadili viwe katika mfumo wa pdf ili nivtume sehemu, na kwa bahati mbaya viko mbali inamaana siwezi kuviscan upya. Nifanyeje...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
wakuu jana na leo nilipata namba za udhibitishio ili kuzitumia kufungua account ya whatsapp wakati mimi sikumbuki kama nilishawahi kutuma maombi ya kujiunga na whatsapp. simu yangu ni techo ambayo...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Jamani naombaeni mnisaidie namna ya kuflash simu hii kwani nikibonyeza batan ya power na ya kupandishia sauti inanilete recovery na boot lakini nikibonyeza recovery inaandika no command msaada...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu hali zenu!!! Kwakweli nimekuwa nikitumia mitandao ya kampuni tofauti tofauti hasa kwenye maswala ya Internet lakini nimeonja radha ya TTCL 4G kwa DSM na ZNZ Mashallah jamaa wako vizuri...
9 Reactions
184 Replies
21K Views
habari Nime install WRC 4 FIA Rally game ya magari ku play inadai STEAM MUST BE RUNNING TO PLAY A GAME MSAADA TAFADHARI
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wadau nimeshawishika kununua hiki kifaa kwa ajili ya kuweza kuunganisha simu yangu na TV but nimeona ni vyema kuja kuomba msaada wa ushauri na mawazo kwanza kwenu haswa kwa wenye ujuzi nacho na...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari wanajamvini... Ni matumaini yangu nyote wazima na tunaendelea na harakati zetu za kujitaftia rizk! Kichwa cha habari kinajieleza, msaada wako tafadhali..
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau habari zenu, Nina computer yangu tatizo nikichomeka waya wa cpu hapo hapo inajiwasha taa ya Orange Sijui tatizo ni nini naomba ushauri wenu any idea please Ahsanteni
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Brute-force attacks are fairly simple to understand, but difficult to protect against. Encryption is math, and as computers become faster at math, they become faster at trying all the solutions...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa ajili ya elimu tu naomba Msaada wa namna ya kutengeneza majadiliano/ conversation hasa ya whatsapp . kama kuna app au namna yoyote ile ya kufanya hivyo naomba Msaada NAWASILISHA
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Hii in free website kwa wale watu wa IT utaweza jifunza vitu vingi Website yenyewe inaitwa www.cybrary.it tushirikishane website nyingine kama hizi my fellow great thinkers jumu jf
0 Reactions
0 Replies
468 Views
Back
Top Bottom