Naomba mnifahamishe maujanja tofauti katika simu

Nurudin Jr

Senior Member
May 25, 2017
180
99
Oya member naomba mniambie maujanja gani naweza kuyafanya katika simu yangu ikaonekana tofauti na ambavyo ilikuwepo ikiwa mpya?

Maana naskia mtu unaweza kuifanya simu yako ambayo inasaport 3G ukaibadilisha muonekano wa 3G na ukawa unaonyesha Network inasoma 4G lakini ni feki je ni kweli na kama kweli nafanyaje? Naomba mnipe maujanja hapa naimani ntanijuza maujanja mengi,,, Nihayo tu Asante na karibuni sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom