KUTANA NA MTU ALIYEDUKUA ACCOUNT YA ZUCKERBERG

GTA

JF-Expert Member
Jul 25, 2013
886
1,000
Khalil Shreateh ni mtafiti wa ulizi wa mtandao, aligundua udhaifu wa security ya facebook mwaka 2013 na kudukua (Hack) account ya Zuckerberg na kupost kwenye timeline yake. Sikiliza anavyo simulia.
 

24hrs

JF-Expert Member
Dec 8, 2016
2,596
2,000
jobless wapo kila pembe ya dunia ila nimepata tumaini jipya kumbe elimu ama ujuzi wako si kwenye makaratasi tu ni kuleta mabadiliko chanya
 

moyes

JF-Expert Member
Aug 19, 2013
2,643
2,000
Mparestina ni baraa kawazidi wamarekani duh na wazuzu pia chaaaaliii hooooi
Punguza mahaba mzee hao wapelestina wame gundua kitu gan mpaka useme kua wao ni balaa kuzid uyo alie leta Fb? jua internet haina mbabe usijidanganye
 

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
18,848
2,000
Cha kushangaza ni kwamba Facebook wamegoma kumzawadia chochote, ni watu wa ovyo sana. Jamaa kawasaidia kugundua damning security flaw halafu wanamkausha kama kuni. Bora hata akiweza awadukue mpaka wamkome...bure kabisa.
Aanike hayo maujanja kwenye mitandao/blogs tuyatumie kuharibu!!!! Hehehehe natania tu, ila walifaa kumtunza na kumuweka karibu nao.
 

God'sBeliever

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
5,828
2,000
Cha kushangaza ni kwamba Facebook wamegoma kumzawadia chochote, ni watu wa ovyo sana. Jamaa kawasaidia kugundua damning security flaw halafu wanamkausha kama kuni. Bora hata akiweza awadukue mpaka wamkome...bure kabisa.
Aanike hayo maujanja kwenye mitandao/blogs tuyatumie kuharibu!!!!
Ukweli mchungu watu hawakubali kuona wanamadhaifu/wamekosea
 

KILWA KWETU

JF-Expert Member
Apr 15, 2017
249
250
Moyes and sijuti bila ya shaka vichwa vyenu ndani yake vinaziro kama ..........ajiita akuambiwa na mtu kuchukua form kumbe siri imefichuka aliambiwa na benjamin william mkapa leo asema sikuambiwa na mtu kuchukua form huyu ni sifuri kama nyie vilaza wenzake.unaambiwa mparestina kavunja record ya Dunia kwa kumdukua mgunduzi wa Fb account yake leo nyie mnasema eti hoo islael hoo sijui hivi sijui vile nyie ni vilaza.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom