Aliewahi kufanya trade kwenye Dark net ..

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,188
3,360
Darknet sio sehem ya kuuziana madawa ya kulevya ama silaha tu kama watu wengi wanavyodhani bali ni soko ambalo kuna bidhaa zisizo halali na zilizo halali Ndugu zangu wana tech, je kuna mtu amewahi kununua bidhaa au service darknet kwenye masoko kama alpha bay, dream market na Hansa...

Naombeni mrejesho...
 
Almost kila kitu kule ni cha wizi mfano mtu ana conduct Scam anapata Credi Cards za watu then anazitumia kunulia vitu mtandaoni then anaviuza kwa bei rahisi zaidi!

Ila I can guarantee you huko page nyingi ni za kitapeli utawatumia BitCoins ila utaambulia kulizwa

sijawai kununua kitu Ila I can guarantee utalizwa labda uwe unazijua Trusted markets
 
usijaribu ata siku kujiunga au kufungua website yeyote ya darkweb maana wanaweza waka ku track, usije ukaingia kwenye njia mbaya stay safe brother!, darkweb isnt the right website to enter
 
usijaribu ata siku kujiunga au kufungua website yeyote ya darkweb maana wanaweza waka ku track, usije ukaingia kwenye njia mbaya stay safe brother!, darkweb isnt the right website to enter
Wakishanitrack?maana kama ni kutrack hata jamiiforums inawezekana.
 
Wakishanitrack?maana kama ni kutrack hata jamiiforums inawezekana.
darkweb kuna websites zakijinga, unaweza kumtafuta mtu umpe hela alafu akamuue mtu mwingine, unaweza kula nyama ya kibinadamu, unanunua drugs, weed, hela feki,

usipende kujionyesha kwenye mtandao mtu yoyote anaweza kutafuta information yako, kwa njiaya Doxing,
mpaka email, bank accounts kila kitu, ndo maana usichezee na mtandao jaribu ukae anonymous
 
Hii ngoma nimeichukua kwa £ milion 6 tu... Itaingia bandarini mda wowote....
Picture_139.jpg
 
unatak kununua nn ndugu mpk huko kote hahahaha nadhani kwa tz yetu komaa na kupatana au kaymu
 
Back
Top Bottom