ipo mkuu ila we huioni...unatumia simu au pc?Gmail ipo, ila sasa sehem ya kuattach vitu kama vyeti, picha, video haipo.
Hiyo sehemu ipo..ngoja nkutumie screenshotSimu.....
ANGALIA HIYO SEHEMU ILIYOZUNGUSHIWA DUARA..UKIBOFYA HAPO ITAKULETEA OPTION YA KU- ATTACH FILE LAKOSimu.....