Nawezaje kuipata ngravision 3?E TV mwanzoni ilikua kwenye nagravision 1 kipindi kile ukiwa unaipata free through free sharing card, kwa sasa kwa wale wenye free to air decoda huwezi kuipata ipo kwenye nagravision 3 ambayo haichakachuliki, vile vile hiyo program haipo kwenye fta decoda pia kuhusu hiyo test(49) that is just card there is not channel there.GUNNEL G MBOYA.