Android programmers

Chloe O'brian

Member
Dec 22, 2010
41
10
Vipi j.f mpo programmers wa ku develop android mobile applications?

Nimekuwa impressed na kenyans ambao wana contests za kudevelop android apps hostes by google,

nilikutana na chalii mmoja ambaye alishinda laptop na other awards kama certificate etc,

binafsi nipo katika level nzuri as tayari nisha develop applications kadhaa,

kama mpo tunaweza anzisha android developers community.
 
Hongera sana mkuu
ila application kadhaa ndo zipi hizo unaweza kutuwekea hata demo hapa au kututajia majina na Technical function zake.
 
yah kama zing alivosema tuambie kama kuna moja ushasubmit market au kama ipo kwenye site yoyoye ile tupate mfano mzuri toka kwako na ikiwezekana hiyo community ianze haraka iwezekanavyo coz android is very growing mobile platform to date......i am really looking foward for a cool JF Android app.....
 
Good idea i wish i was a programmer.

Ni application au framerowk gani inatumika kutengeneza mobile apps? I mean unaweza kutupa some ABC
  • wht u need
  • whst tools to use
  • links for best training video/ articles for beginners in mobile appl dev
 
Mimi pia nina a couple of Apps Android market, ila si mnajua tuko undercover hapa JF!!
 
Mimi ni programmer mzuri sana wa Android multimedia applications, ila huwa ninafanya shughuli hiyo kama hobby tu. Nimeshaandika apps chache za kutazama TV na kusikiliza radio mbalimbali zilizo kwenye internet. Nilianza kwa kuandika robot moja ambayo in sniff websites mbalimbali na kuniletea url za stations za radio na TV zilizo kwenye interent. Kisha nikatayarisha database ya hizo stations kwenye app yangu. Ingawa sijaiutoa app hiyo kwenye marketplace kwa vile sina uhakika wa kutosha na legality ya url nilizosniff bila kibali cha wahusika. Ukitaka ninaweza kukutumia hiyo app kwenye PM. Ninatumia Eclipse katika kuandika apps zangu, sijui wenzangu nyie vipi.
 
mkuu ningefurah sana ungeniPM hyo app.
 
Mimi pia natumia Eclipse kwasababu ndo officially supported na Google, ila iko heavy sana kwenye resources na laptp yangu old schools sana. Right now najaribu kutumia IntelliJ IDEA wameenda free recently na inakuja na Android support. Natamani Visual Studio ingekuwa ina support Android.

App zangu zote free, some zina Ads za AdMob ndani yake, hazitengenezi hela nyingi, right now natengeneza kama dolla moja kwa siku.

Right now nimeingia kwenye gemu maana ndo kwenye hela Android plus more fun, natumia AndEngine, pia nachunguza Unity lakini ina license fee ukitaka kupublish for Android.

Idea nzuri, unique, zitakazotengeneza hela ndo tatizo kubwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom