Kaspersky ndio ilivyo?

Kaspersky ndio ilivyo?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,260
Naitumia kwenye tarakilishi yangu. Siku nimefyonza kabrasha fulani nikaenda kuprint sehem fulani. Narudi na kuichomeka inanihitaji ku scan. Ile kumaliza scan na taarifa zangu zote muhimu zimefutwa na kaspersky. Kuna namna ya ku scan bila mafaili kufutwa? Maana hii sio kabisa
 
We Sharobalo kwenye Quarantee wanakaa Virus tu na sio mafaili, raia kaspersky ikikuta fail lina virus inalifuta kipindi inscan
 
Mkuu inawezekana yamejificha, check properties kama nafasi iliyotumika inaendana na mafaili yaliopo.

Au flash iliingiliwa na virus ktk hayo mafaili hivyo AV imeyatafuna
 
Yah kama alivyosema sharo nadhani suspect file zinawekwa kwenye chest au safe location kulingaina na aina ya antivirus zinapewa majina tofauti

Ni kiasi cha kwenda na kuchagua kuwa unaamini file hilo halina tatizo au uignore hiyo alert ya antivirus kuliweka hilo file huko.

tatizo la karpesky watu wanaisfia sana lakini ni antivirus yenye false positive nyingi soma hapa ujue maana ya false postive http://www.securelist.com/en/glossary?glossid=153654932
 
KAMA NI HIDDEN FILES FANYA HIVI

Windows XP and Windows 2003
To enable the viewing of Hidden files follow these steps:​
  1. Close all programs so that you are at your desktop.
  2. Double-click on the My Computer icon.
  3. Select the Tools menu and click Folder Options.
  4. After the new window appears select the View tab.
  5. Put a checkmark in the checkbox labeled Display the contents of system folders.
  6. Under the Hidden files and folders section select the radio button labeled Show hidden files and folders.
  7. Remove the checkmark from the checkbox labeled Hide file extensions for known file types.
  8. Remove the checkmark from the checkbox labeled Hide protected operating system files.
  9. Press the Apply button and then the OK button and shutdown My Computer.
  10. Now your computer is configured to show all hidden files.
Windows VistaTo enable the viewing of Hidden files follow these steps:​

  2. Click on the Start button. This is the small round button with the Windows flag in the lower left corner.
  3. Click on the Control Panel menu option.
  4. When the control panel opens you can either be in Classic View or Control Panel Home view:

    If you are in the Classic View do the following:
    1. Double-click on the Folder Options icon.
    2. Click on the View tab.
    3. Go to step 5.
    If you are in the Control Panel Home view do the following:
    1. Click on the Appearance and Personalization link .
    2. Click on Show Hidden Files or Folders.
    3. Go to step 5.
  5. Under the Hidden files and folders section select the radio button labeled Show hidden files and folders.
  6. Remove the checkmark from the checkbox labeled Hide extensions for known file types.
  7. Remove the checkmark from the checkbox labeled Hide protected operating system files.
  8. Press the Apply button and then the OK button.
  9. Now Windows Vista is configured to show all hidden files.
Windows 7To enable the viewing of Hidden files follow these steps. Please note a guide with images that shows the same steps can be found here:​
  1. Close all programs so that you are at your desktop.
  2. Click on the Start button. This is the small round button with the Windows flag in the lower left corner.
  3. Click on the Control Panel menu option.
  4. When the control panel opens you change it so you are using Category view.

    2. Under the Folder Options category, click on Show Hidden Files or Folders.
    3. Go to step 5.
  5. Under the Hidden files and folders section select the radio button labeled Show hidden files, folders, or drives.

  7. Remove the checkmark from the checkbox labeled Hide protected operating system files (Recommended).
  8. Press the Apply button and then the OK button..
  9. Now Windows 7 is configured to show all hidden files.
Please note that you will now see icons that were not previously visible. One of the most common concerns is that you will see a file called desktop.ini throughout your computer. These are legitimate hidden files and can be ignored.

ConclusionNow that you know how to see all hidden files on your computer, malicious programs such as viruses, spyware, and hijackers will no longer be able to hide their presence from you​
 
YEAH mi naamini ni kwenye quarantee sababu yalionekana yana virusi...ila mimi sio mtumiaji wa Kaspersky
Yah kama alivyosema sharo nadhani suspect file zinawekwa kwenye chest au safe location kulingaina na aina ya antivirus zinapewa majina tofauti

Ni kiasi cha kwenda na kuchagua kuwa unaamini file hilo halina tatizo au uignore hiyo alert ya antivirus kuliweka hilo file huko.

tatizo la karpesky watu wanaisfia sana lakini ni antivirus yenye false positive nyingi soma hapa ujue maana ya false postive Glossary - Securelist
 
Naitumia kwenye tarakilishi yangu. Siku nimefyonza kabrasha fulani nikaenda kuprint sehem fulani. Narudi na kuichomeka inanihitaji ku scan. Ile kumaliza scan na taarifa zangu zote muhimu zimefutwa na kaspersky. Kuna namna ya ku scan bila mafaili kufutwa? Maana hii sio kabisa
mkuu pole sana! nenda kwenye "settings" ,kuna jinsi ya kuamua kama "infected files" ziwe "deleted" ama vinginevyo!!
 
Kwa kawaida, virus wanapo shambulia file au forlder uwa wanatengeneza kitu kama exe kwenye forlder usika au file, hivyo unapochomeka flash yenye kuathirika na virus huyu aina Autorun, na computer yako nyenye antivirus, moja kwa moja antivirus inatambua kuna kirusi kwenye file usika, na inachokifanya inafuta kivuli cha files/forlders usika ambacho ndicho kilichoadhirika na virus....

Kwa maana hiyo files/forlders lako linatambulika na OS yako kama Hidden files. Hivyo files zako bado zipo sehemu usika. Cha kufanya ingia kwenye my document or my computer/option/view, tick kwenye show hidden files.. Ukifanya hivyo rudi kufungua flash yako na files zako zote utaziona.

Nimeandika kwa haraka haraka ni kihofia simu kuzima charge, kama kuna makosa madogo madogo kwenye maelezo yangu naomba mnirekebishe.
 
Yah kama alivyosema sharo nadhani suspect file zinawekwa kwenye chest au safe location kulingaina na aina ya antivirus zinapewa majina tofauti Ni kiasi cha kwenda na kuchagua kuwa unaamini file hilo halina tatizo au uignore hiyo alert ya antivirus kuliweka hilo file huko.tatizo la karpesky watu wanaisfia sana lakini ni antivirus yenye false positive nyingi soma hapa ujue maana ya false postive Glossary - Securelist
Tatizo siyo kaspersky, bali ni aina ya virus ambaye anashambulia mashine yako.. Kama alivyo sema hapo juu ni kwamba file au forlder libadilishwa mfano likawa hivi ( MGANYIZI.EXE) karibu antivirus zote huwa hazina uwezo wakuondoa kirusi usika pasipo kufuta kivuli cha file, hivyo kufanya file usika kutambulika kama hidden file.. Still file linabaki kwenye sehemu yake usika na halifutwi.
 
Mh! Nimechomeka flash nikafuata hatua hadi show hidden files ila hakuna kitu kwenye flash. Au nakosea? Pia flash inaonyesha kuna space iliyotumika japo iko tupu
 
Ninavyoijua mimi hiyo Kaspersky vitu vyote vilivyoathirika yaani vilivyotambuliwa kama virus huwa vinawekwa quaranteen so go huko utavikuta huwa havifutwi ila mwenye option ya kufuta ni user
 
Poa wakuu. Ngoja nikisha recharge modem ndo nijaribu hizo options
 
KAMA NI HIDDEN FILES FANYA HIVIWindows XP and Windows 2003 To enable the viewing of Hidden files follow these steps:​
  1. Close all programs so that you are at your desktop.
  2. Double-click on the My Computer icon.
  3. Select the Tools menu and click Folder Options.
  4. After the new window appears select the View tab.
  5. Put a checkmark in the checkbox labeled Display the contents of system folders.
  6. Under the Hidden files and folders section select the radio button labeled Show hidden files and folders.
  7. Remove the checkmark from the checkbox labeled Hide file extensions for known file types.
  8. Remove the checkmark from the checkbox labeled Hide protected operating system files.
  9. Press the Apply button and then the OK button and shutdown My Computer.
  10. Now your computer is configured to show all hidden files.
Windows VistaTo enable the viewing of Hidden files follow these steps:​
  1. Close all programs so that you are at your desktop.
  2. Click on the Start button. This is the small round button with the Windows flag in the lower left corner.
  3. Click on the Control Panel menu option.
  4. When the control panel opens you can either be in Classic View or Control Panel Home view: If you are in the Classic View do the following:
    1. Double-click on the Folder Options icon.
    2. Click on the View tab.
    3. Go to step 5.
    If you are in the Control Panel Home view do the following:
    1. Click on the Appearance and Personalization link .
    2. Click on Show Hidden Files or Folders.
    3. Go to step 5.
  5. Under the Hidden files and folders section select the radio button labeled Show hidden files and folders.
  6. Remove the checkmark from the checkbox labeled Hide extensions for known file types.
  7. Remove the checkmark from the checkbox labeled Hide protected operating system files.
  8. Press the Apply button and then the OK button.
  9. Now Windows Vista is configured to show all hidden files.
Windows 7To enable the viewing of Hidden files follow these steps. Please note a guide with images that shows the same steps can be found here:​
  1. Close all programs so that you are at your desktop.
  2. Click on the Start button. This is the small round button with the Windows flag in the lower left corner.
  3. Click on the Control Panel menu option.
  4. When the control panel opens you change it so you are using Category view.
    1. Click on the Appearance and Personalization link .
    2. Under the Folder Options category, click on Show Hidden Files or Folders.
    3. Go to step 5.
  5. Under the Hidden files and folders section select the radio button labeled Show hidden files, folders, or drives.
  6. Remove the checkmark from the checkbox labeled Hide extensions for known file types.
  7. Remove the checkmark from the checkbox labeled Hide protected operating system files (Recommended).
  8. Press the Apply button and then the OK button..
  9. Now Windows 7 is configured to show all hidden files.
Please note that you will now see icons that were not previously visible. One of the most common concerns is that you will see a file called desktop.ini throughout your computer. These are legitimate hidden files and can be ignored.
ConclusionNow that you know how to see all hidden files on your computer, malicious programs such as viruses, spyware, and hijackers will no longer be able to hide their presence from you​
nimefuata hii proc kwa window 7 bado sikufanikisha. Ngoja nicheki na hizo options hapo juu pia
 
Back
Top Bottom