Fundi wa Ipod.

Fundi wa Ipod.

Eshacky

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2011
Posts
965
Reaction score
252
Wakuu, nina Ipod yangu ambayo hai-display, kwenye screen inawaka rangi nyeupe tu. Ila mziki inapiga. Niliogopa kupeleka kwa mafund hawa uchwara wacje wakaiua kabisa. Msaada wenu, mnaweza nielekeza mahal palipo mafund wazur na gharama yake? Nawasilisha.
 
Kama upo Dar es Salaam, ipeleke E-lite Computers. Wapo Upanga jirani na shule ya Olympio au Harbour View Tower (J-Mall)
 
Wewe unaona tatizo ni nini hardware au software? Kama ni software ni pm
 
Wewe unaona tatizo ni nini hardware au software? Kama ni software ni pm
kuhusu tatizo n la kipi kat ya hzo. Kiukwel cjui, lakin kwa akil za kuzaliwa nahc km n hardware, labda wajuz watupe muongozo..!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom