wadau nina shida mbili yakwanza niliformat computa kwakutumia external cd rom,ss nikainstall window upya lkn ss kila nikiwasha inaniandika A DISC READ ERROR OCCURED PRESS CNTRL+ALT+DEL,TO RESTART,Nikibonyeza inazima nakuanza tena upya kuniandikia huo ujumbe,NIFANYEJE?