No more certificate error,expiered certificate,update error in Symbian v5 and v3 without hacking

erickmalz

Senior Member
May 27, 2011
145
11
Jaman jaman,hv been taking my time
kufwatilia hilo swala. Am using Nokia
5800 xpress music.
Fwatisha maelezo ya fuatayo kwa
makini sana.
1. Ikia kwny link hii nokiasymbianthemes.com/explore/
how-to-get-your-certificate-key-file-
instantly-for-signing-apps
soma kwa makini maelezo(procees 1)
hadi stage 6. Link hii
gallery.mobile9.com/c/nokia-5800- xpressmusic-softwares_1954/1/?
kw=xstevedoreutaipata xstevedore.
2. sasa unatakiwa uwe na application
ya free signe, fwata link hii
kuidownload gallery.mobile9.com/c/
nokia-5800-xpressmusic-softwares_ 1954/1/?kw=freesigner
3. Sasa fungua free signer katika simu
yako, neoda options then settings.
weka certificate na key yako
ulivyovidownload kutoka xstevedore
sehemu ya Sign cert na Sign key. weka namba zozote kama 12345
sehemu ya sign key pass kisha bonyeza
back.
4. Bonyeza add task na uchague
application iliyoleta certificate error
then add and chagua operation ya SIGN SIS. kisha nenda option > go.
Application uliyoiSIGN utalikuta chini ya
ile ya zaman(unsigned)....
KWA KUFWATA MTILILIKO HUO WA
KUSIGN, UNAUWEZO WA KUSIGN ANY
UNSIGNED APPLICATION ,NO MO EXPIRED CERTIFICATE,CERTIFICATE ERROR,UPDATE
ERROR AND OTHERS.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom