Hacking voice message in phone

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Wakuu nimesoma soma mtandaoni kuna gazeti huko majuu UK limesababisha mjadala mkubwa baada ya kuonekaa stye yake ya kutafuta data na taarifa mbali mbali ilikuwa ni kupitia hacking Voice message za kwenye simu.

Sasa kwa nia nzuri ya kujifunza na kuelewa tuelimishane
  • Ni nyenzo gani zinatumika kuhack voice message kwenye simu. kama una anayezijua nzuri atutajie
  • Zina ugumu gani na urahisi gani kutumia.
NB:
kwa ambao hawajanipata voice message ni ujumbe mtu anaoacha baada ya kuwa hujapkea simu alivyokupigia simu. So unakuwa kama sms sema wenyewe uko katika format ya sauti.

Nawasilisha kwa mjadala
 
Bado naendelea u google lakinisijafanikiwa kupata darasa la kueleweka. Anayejua link zuri adondoshehapa tuelimike. Tujue hapa bongo risk ya voice message kuwa accesed na third party ikoje.
 
Back
Top Bottom