Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nina nokia e50, na nlikuwa nataka update version ya os yake. Nmejarib kila njia ikiwamo ktk site yao ya nokia lakn nmeshndwa. Kwa yeyote anaejua jns ya kuupdate aniguide plz.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu kama nataka kubadili my username kama ilivyo kwenye facebook nitafanyaje?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
3g capable phones. Head to www.wap.vodacom.co.tz and watch 5 dstv chanels free of charge!
0 Reactions
4 Replies
7K Views
..waungwana naomba msaada kwa yeyote aliye na driver whiz reg keys...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa popote pale ambapo hupati jamiiforum na mitandao mingine ya kijamii kama youtube facebook nikimaanisha baadhi ya nchi wamezuia tumia hii software natumai itakusaidia najua mtauliza kwanini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Za saa hizi jaman?? naomba mnisaidie serial number za hizi program Reg Tweaker na Agronis Disk Director 11 home plz msaada jaman???
0 Reactions
0 Replies
831 Views
hi kitu inaitwa billing address kwenye credit card ndo nini? ni the same na ile posta au?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
msaada mwenye uwezo wa unlock codes tv mfano satellite tv 36.0e kuna chanel zilizo fungwa kwenye BISS na NAGRAVISION na betacraypt inasemekana uwezekano upo wa kuzifunguwa Kuna-cryptoworks...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
ni kama cku 4 zmepita niliomba msaada jinsi ya ku hack simu yangu, nilifungua ile link ikafunguka nilipodownload kama zip ikagoma sasa nikaenda kwenye direct link nilipotaka kudownload ikasema...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimefurahi na hiyo shule wataalam mnayotuletea! naomba mnijulishe pia nawezaje kufanya partition ya laptop yangu...ina system C tu 250GB (150 free space/unused) haina partition na kama kuna...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kila mtu anajua namna virus vya kompyuta vinavyogharimu muda na pesa pindi vinaposhambulia kompyuta ambayo umeifadhi kumbukumbu zako muhimu. Na pia mnajua jinsi wamilikiwa hizi anti virus...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
“We’d like to bring the nuance and richness of real-life sharing to software,” Gundotra said. “We want to make Google better by including you, your relationships, and your interests.” Google+...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu hii flash yangu ina 8gb nimejaribu kuiformat kwa njia za cmd na njia ya kawaida haitaki kabisa ikifika mwisho inaandika format did not complete any help pls.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ok ni kwamba hapo kabla ilishatangazwa kwamba kuna hacker aliingia JF na visitor message hii hapa: Hello, My greeting to you My name is Shania, single and never married, how are you i hope you...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
WANAJAMII NINA SIMU YA SONY ERICSSON XPERIA ARC, NILICHEZEA PASSWORD MARA NYINGI SASA IMEBLOCK INATAKA username na password, username nimeweka ila password inanigomea, wakuu kuna namna yoyote...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Ninayo website yangu. Nilifungua email account info@kaalamoto.com kwenye hii hii website kule kwenye webmail. Nilizoea kuweka email address yangu na password kisha naingia ndani na nahudumia...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Thank you for using Airtel services. You have already used 0MB of your 0MB bundle, Your remaining balance is 0MB..... kila nikiuliza balance ya bundle wananipa huu upuuzi., je ni kwangu peke yangu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Zitto Kabwe wa CHADEMA ambaye anasoma bajeti mbadala ya upinzani sasa hivi Bungeni amekuwa Mbunge wa kwanza wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutumia teknolojia ya kisasa kufanya...
30 Reactions
205 Replies
20K Views
MAMLAKA ya Mafunzo na Ufundi Stadi Tanzania (VETA) imesema kuwa wameunda gari linalotumia mfumo wa sola. Mtafiti wa Soko la Ajira wa VETA, Abdallah Mhagama, alisema gari hilo walilolibuni halina...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu nina Pon-Blocker ambayo ime-expire, sasa inablock hata programmes zangu za kawaida, nataka kuiunistall lakini nimesahau password, naomba msaada wa jinsi ya kuiondoa please kwa anaefahamu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom