Duuh hii ni kwl au muingiliano zantel wamejiunga na 3g kwl? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Duuh hii ni kwl au muingiliano zantel wamejiunga na 3g kwl?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by e2themiza, Jul 4, 2011.

 1. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Yap habari zenyu people hv wajameni mie kwa ujuzi wangu nafaham kuwa kuna mitandao ya GSM and CDMA ambapo GSM kuna tigo, airtel, voda

  ambapo wana GPRS/EDGE and 3G networks, pia zantel ipo lakini ni GPRS/EDGE pekee and kwa CDMA kuna ttcl,zantel and sasatel.... sasa juzi

  nimeconnect modem za vodafone K3570-Z na kutumia dashboard ya JOIN AIR na ikashika 3G ya ZANTEL ikaconnect fresh bila tatizo so how is

  possible nao wamejiunga lini au huu ni muingiliano au mie ni upungufu wa juzi wangu juu ya hii mitandao picha iyo apo ya dashboard kuonyesha

  ayo ninayo yasema duuuh coz speed yake c mchezo kulinganisha na voda and airtel.

  zantel hspda.jpg
   
 2. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mbna mi huwa naconnect line ya zain kwa profile ya tigo!
   
 3. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  bado sijakupata mkuu apa nimezungumzia mtandao sio profile.... na swal langu haswa ni kwamba zantel pia wana mtandao wa 3G kwl kabisa au kuna muigiliano fulan imetokea na inawezekana miugliano kutokea au ni kuwa 2 zantel nao wame launch 3G na kama hvyo toka lini mbona sina habari kabisa waatalum twaomba msaada kwa kulitatua hili
   
 4. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu, sidhani kama Zantel wana 3G labda join air imekariri, mimi nina modem ya tigo nikiweka line ya zantel inasoma edge tu...
   
 5. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Yeah ndio exactly hivyo ndivyo nafaham mimi kwamba zantel wana EDGE 2 kwa upande wa GSM na mwanzo nilikuwa

  na modem ya huawei ambaoyo unaweka line yoyote ya GSM na pale ukiweka line ya ZANTEL inakubali mtandao wa EDGE tu naah ata ukiforce na

  kuweka ishike option ya 3G haikubali BUT ukisearch manual sometimes nlikuwa naona imeandikwa ZANTEL 3G lakini uki select na kujiregister nayo

  haukubali hii ni ka dashboard ya mobile patner au hizi za HUAWEI lakini jana nlivounga modem nakuweka JOIN AIR na modem ya zte ya vodacom

  ilishika na ukaconnect kabisa sasa ndo nashangaa coz kama labda ingekuwa dashboard imejichangaya speed ingeleza tofauti kwenye join air

  dashboard ina onyesha 1.40 mbps naa inaapanda mpaka 1.80 mbps na kwny download manager download speed ni 150 - 300 MBps... obviously

  hii sio EDGE/GPRS na vile vile kwenye dashboard imeandika HSDPA kama kwenye picture apo juu nailiopo ni line ya ZANTEL ya gsm kwenye

  modem... so does it mean huu ni muingiliano na inawezekana vp ikangiliani hivi?
   
 6. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hiyo yako sawa. ila zingatia tip hii: hakuna edge inayodunda mpaka 1.4Mpbs. sio join air imekariri. angalia speed ndio useme. ni speed ya Hsdpa.
  labda nikuulize mshkaji uliyopata haya upo maeneo gani?
   
 7. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Yeah kwanza ilishika maeneo ya home mie nko pande za TANDIKA ambapo pia apa MITANDAO yote ya EDGE/GPRS , 3G na vile vile za CDMA na kamata fresh kabisa kwa modem mbali mbali... na pia nilivoenda chuoni BUGURUNI ilishika pia fresh kabisa iyo HSDPA ya ZANTEL na speed iko vile vile kasi nzuri tu.
   
 8. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Zantel tayari wanayo 3.5G ndio wanaendelea kufunga hii sasa kama wiki mimi natumia Zantel 3g, lakini bado wahaja enea ndio maana hawaja tangaza.
   
 9. Petiro

  Petiro JF-Expert Member

  #9
  Jul 5, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wadau ni kweli ZANTEL wanayo 3G network ila kwasasa ipo kwenye majaribio na ilikua wailunch july mosi ila wakapostpone maana bado power consumption yake iko abnormal kwa wale wanaotumia simu za mikononi. Hivyo Huawei wanacheza nayo. kwa kuanzia wanayo Coverage hapa Dar na Unguja.

  Nawakilisha
   
 10. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #10
  Jul 5, 2011
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni kweli Zantel wana 3G,kama alivyo sema mdau hapo juu..
   
 11. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #11
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  yep hata na mimi nimeipata kwa muda. ila baaadae inarudi edge.
   
 12. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #12
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Yap Ahsanteni wote kwa michango yenu yap ni kwl ZANTEL kuna 3G lakini nina amini bado hawaja i LAUNCH OFFICIAL yani KUITANGAZA coz niliongea na CUSTOMER CARE wa ZANTEL na akiniambia eti kuwa hawana mtandao wa 3G.. anyway IPO amd speed yake INARIDISHA kabisa bana PAJE chakufanya nikuselect DASHBOARD YAKO YA JOIN AIR kwenye PREFRENCE CHAGUA UMTS/HSDPA naa apo itashika 2 mie natumia mpaka sasa FRESH KABISA
   
Loading...