kasambalakk
Senior Member
- Apr 2, 2011
- 125
- 17
:mod:jamani wanafamilia habari za mida...poleni sana na majukumu ya kila siku...sasa familia me sasa ni zaidi ya miezi sita kam sio saba kwenye laptop yangu kuna virus uyo anakula desktop icon zote na kufanya computer kuwa slow kidogo pia anasababisha desktop kuwa inactive kabisa...huwezi kufanya chochote kwenye desktop mbaya zaidi ukifuta kitu kwa bahati mbaya...ndio kimoja kwani recycle bin haipo active kwahiyo inakuwa imekula kwangu kabisa...nimetumia kila haina ya antivirus kutoa hicho kidudu nimeshndwa mbaya zaidi....cjapata kujua anaitwa nani kama ningejua jina lake dah najua ningemtoa tu........