Shida ya flash

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,903
1,053
Ninayo flash ambayo kwa bahati mbaya inaonekana inawaka lakini haionekani kwenye drives za my computer.
Nawezaje kuirudishia uhai ili niione kwenye computer? nahisi software yake itakuwa corrupted! Nani wa kunisaidia?
 
Nenda kwenye my computer halafu right click 'manage'. After that nenda kwenye 'Disk management'. Itaunganisha na Local disk management system ambapo flash na hard disk zote zitaonekana.

Baada ya hapo chagua flash yako (utaigundua kwa kuangalia size e.g 1.96gb 2.82gb, etc). Angalia usichague hard disk badala ya flash! Ukishachagua, right-click halafu format (unaweza ukadhani hii ni sawa na ile formating ya kawaida lakini sio. Hii ina nguvu zaidi). Kama ikikataa kuformat basi right click upande wa pili halafu create partition/allocation. One of the ways must work.
 
Mkuu na mimi nilikuwa na tatizo kama hilo nimejaribu hiyo njia hapo juu lakini imegome, bado flash yangu haionekani. Ni aina ya Elecom 8GB
 
Nenda kwenye my computer halafu right click 'manage'. After that nenda kwenye 'Disk management'. Itaunganisha na Local disk management system ambapo flash na hard disk zote zitaonekana.

Baada ya hapo chagua flash yako (utaigundua kwa kuangalia size e.g 1.96gb 2.82gb, etc). Angalia usichague hard disk badala ya flash! Ukishachagua, right-click halafu format (unaweza ukadhani hii ni sawa na ile formating ya kawaida lakini sio. Hii ina nguvu zaidi). Kama ikikataa kuformat basi right click upande wa pili halafu create partition/allocation. One of the ways must work.

Bado imegoma hata kwa njia hii. Ninapata msg kwamba one of the device connected to this computer has mulfanction and window does not recognize it.
 
Ok sasa here are the tips for solving problems with USB devices
Tips for solving problems with USB devices

Hardware devices not detected or not working
Hardware devices are not working or are not detected in Windows

Hope this helps.
Hii Fix it inanipa message hii bana.

XFdvs7HxiYCASy3NLZWVvPwCWBIsAwMDExOTvKKStbVNgI+vv4+vhbW1hLQ0mhoAHEv5j14JMUMAAAAASUVORK5CYII=
We're sorry, but your operating system is not supported by Microsoft Fix it at this time.
 
Dah kumbe ni sony,kuna kitu ulikosea wakati unaichomeka haukuiaccept inaelekea ulicancel thats why drivers hazikujifunga nadhani ni kwa hizo flash tu hali kama hii ilimtokea jamaa yangu mmoja ikabidi tuiformat mashine yake ndio ikakubali.
Sonny 4gb
 
......Lakini na kwa computer zingine imekataa. Nahisi itakuwa mbofu hii
 
Back
Top Bottom