msaada window 7 kila nikizima na kuwasha haisave changes inasema temporary desktop yaani hata nikisave kitu ktk desktop nikiwasha kinafutika na pia screen saver vile vile.
Wakuu nna printer ambayo ina siku mbili tu. Walinipa wino wa kuanzia<cartridge>, lakini cha ajabu umetoa copy zisizozidi 40. Je naweza tumia wino wa maji? Kama ni ndiyo, nitaweka kwenye hzi cartridge?
Nataka kubadilisha OS kwenye my laptop kutoka window XP to window 7
Sababu: Hii window XP kama imekaa kizaman zamn afu imecorrupt ama kuna file zimemiss so inazingua...
Msaada:Nani anaweza...
WanaJF wenzangu mambo vp? Natumai mu wazima,kwa wanaosherehekea sikukuu ya krismas mambo yanakwenda sawa. Naombeni kuuliza kwa wanaofahamu ni browse gani iliyo nzuri kama ilivyokuwa BOLT au zaidi...
Nimedownload LCG JUKEBOX nikapewa trial kama dakika 5, baada ya hapo nikatakiwa kuweka unlock! Naomba kwa yeyote anayeweza kunisaidia unlock key anisaidie! Natumia nokia 5320 xm(s60 v3)...
IP-Tools offers many TCP/IP utilities in one program. This award-winning program can work under Windows 98/ME, Windows NT 4.0, Windows 2000/XP/2003, Windows Vista and is indispensable for anyone...
Wakuuwa wa mambo ya ghraphics na card design
Napena kujua ni application gani au software gani zinazotumika kutengenza card nzuri za harusi na shere nyinginezo ama Mwaka mpya , siku ya...
Wadau kuna hii kitu inaitwa Sema na Airtel inakuwezesha kutuma sms free kwa mteja wa Airtel aliyejiunga kwenye hiyo service (yes ni 0Tsh/SMS)
Kujiunga
Kujiunga unatuma sms neno Jiunge unaacha...
Wakuu habari zenu? Mimi ni mmoja wa waathirika wa hizi mvua, na imetokea P2 imelowa upande mmoja. Kuna wanaonambia eti imeshakufa. Jamani hli lina ukweli?
Lenovo X300 vs. Apple MacBook Air... Fight!
By Thomas Ricker
As long as Lenovo is drawing a direct comparison between their own X300 and the MacBook Air, we thought we'd go ahead and put...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.