Tafadhalini nisaidieni ipi zaidi ya BOLT?????

Tafadhalini nisaidieni ipi zaidi ya BOLT?????

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
278
WanaJF wenzangu mambo vp? Natumai mu wazima,kwa wanaosherehekea sikukuu ya krismas mambo yanakwenda sawa. Naombeni kuuliza kwa wanaofahamu ni browse gani iliyo nzuri kama ilivyokuwa BOLT au zaidi ya BOLT kwa sisi tunaotumia simu kwenye facebook,maana BOLT ilikuwa na uwezo wa kukuonyesha ni nani yuko online kama kwenye kompyuta mkaweza kuchat nae.
 
Back
Top Bottom