There is many web site provide us to send free emails. Gmail, yahoo and hotmail those websites are very popular. By using these site we can send and receive emails. Here we are going to discuss...
Teknolojia wiki hii BONYEZA HAPA BBC Swahili - Habari - Teknolojia wiki hii
AU HAPA http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2011/11/111026_teknolojia_facebook_video.shtml
AU HAPA BONYEZA...
Wadau google imetoa os mpya ya android na iko ndani ya simu mpya ya samsung galaxy nexus. Japokuwa samsung wamesema wata update samsung galaxy s2 mwanzoni wa mwaka 2012 je kuna mtu ameweza...
Natumia simu aina ya NOKIA 6200 wakuu katika cm hii kuna mahali pa kuifanya kama pcmode lakini nashindwa kutoa michango kupitia mtindo huo.Kwa hiyo naomba kufundishwa matumizi.Sasa natumia upande...
ndugu wadau Laptop yangu iliingia maji ya kutosha tu nikaipeleka kwa fundi anifanyie marekebisho, Kuwaka imewaka lakini kioo kinaonyesha kwa mbali...what are the implication guys
Naombeni msaada jamani.Pc yangu haitaki kucopy kitu chochote.Ukicopy wakati una paste ina stak na mchezo unaishia hapo hapo. JE tatizo ni nini?NI DESKTOP DELL GX 270...
Wakuu wa JF !
Am looking to study into AUTOCAD, REVIT and 3ds MAX.
Plz tell me any organization who can teach me, or a teacher who can teach ?
PLZ PM !
Please click the links below:
Particles found to break speed of light | Reuters
CERN observes sub-atomic particles travelling faster than light - The Frontline - a blog from V3.co.uk
Kama una tablet au simu ya android , bila kusahau internet inayoeleweka unaweza ukafurahia kuangalia TV online.
Uzuri wa hii app (tofauti na nyingine nyingi) haikupeleki kwenye website za...
WanaJF mambo vp?natumai hamjambo.Jamani naomba kuuliza kwa sisi tunaotumia simu kwenye facebook ni browse ipi iliyo nzuri kama ilivyokuwa BOLT maana ulikuwa na uwezo wa kuona ni nani aliye ONLINE...
Nimewahi kusikia kuwa NBC wana huduma ya kufanya trunsactions kwa kutumia simu ya mkononi. Kama ni kweli anayefahamu atujuze namna ya kujiunga. Wenzetu wa CRDB wanajiunga kwa kupiga *150*03*
Chondechonde wadau wa hii forum,natafuta display/ screen /kioo cha laptop yangu dell inspiron 1464 mwenye kujua nakoweza kupata anijulishe tafadhali.kilichopo kimekufa .asanten
Wadau natumia laptop aina ya ( hp compaq ) q40 hapo nyuma iliwah leta usumbufu fund akanibadilishia window akaniwekea hii window imeandikwa (vista busness) naona kama si nzur kwasabu webcam(...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.