Window media player haionekani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Window media player haionekani!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mzee wandimu, Dec 23, 2011.

 1. m

  mzee wandimu JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  nimejaribu kuitafuta window media player kwenye machine haipatikani!sasa kama imefutwa,ntaipataje wakuu!
   
 2. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Sina hakika kama inaweza kufutika yenyewe maana kwa kawaida haina option ya uninstall. Pengine unetuambia umeitafutia wapi, maana huwa inakuwa kwenye start menu. Kama unatumia OS wind 7 nenda kwenye start button, open all programs utaiona miongoni mwa progs za hapo juu juu.Altenative ya pili, tafuta wimbo wowote(not file), right click, select Open wih... itakupeleka kwnye list ya play media zote ulizonazo. Isipoonekana kwenye list, Bofya kwenye Browse itakupeleka kwenye list ya progs zote ulizonazo kwenye pc yako.Ikishibikana hapo ujue kweli haimo, so lastly utatakiwa kudownload nyingine hapa Download Windows Media Player 11 - Windows Media Player - Play video and audio media - soft82.com Bofya kwenye Miror 1 utatakuwa umeishamaliza kazi. Good luck.
   
 3. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 841
  Trophy Points: 280
  Ungesema pia unatumia version gani ya windows, nenda kwa
  control panel>add and remove programs>turn window features on or off
  hapo select window media player (check box) ila inaweza kudai disk ya operating system unayotumia
   
 4. m

  mzee wandimu JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mkuu option zote nimejaribu! mimwenyewe sikujua kama huwa zinafutika! make mwanzoni ilikuwepo! acha niidownload!
   
 5. m

  mzee wandimu JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mkuu hii comp ni sumsung rv508,os ni win7 ultimate! niya bro wangu! nimeisaka kwaoption zote sijaiona! acha niidawnload kama alivo sema mkuu hapo juu!
   
 6. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 837
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  kama vipi download hii software nayo ni nzuri sana.
  'MPCSTAR' ni nzuri kwa kucheza audio na Video. Pia kuna nyingine inaitwa 'JET AUDIO'
   
 7. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #7
  Dec 24, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
 8. m

  mzee wandimu JF-Expert Member

  #8
  Dec 24, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  asanteni wakuu! nimeshaidownload!
   
Loading...