Lenovo X300 vs. Apple MacBook Air... Fight!

Lenovo X300 vs. Apple MacBook Air... Fight!

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,083
Reaction score
34,859
Lenovo X300 vs. Apple MacBook Air... Fight!

By Thomas Ricker






As long as Lenovo is drawing a direct comparison between their own X300 and the MacBook Air, we thought we'd go ahead and put them side-by-side for you. So dear reader, how do you define perfection?




Nani mshindi kati ya Lenovo X300 vs. Apple MacBook Air? Kwa Fikira zako?
 
Last edited by a moderator:
Hawa MAC nao wana matatizo yani machine inakuwa na USB port moja tu
  • Kwanza Mac hawapendi compatibility na kuingiliana na system nyingine. Hata hiyo moja wameweka tu. Wanatamanii wangekuwa na USB port standard na specicifation yao tofauti na hizi universal tunazotumia
  • Pili wabahili. maana hiyo USB unaweza kuta ni patent za kampuni fulani so wakiweka port tatu nne ina mana malipo ya wale wenye patent za USB yanaongezeka kwa kila mashine inayouzwa.
 
Kwa fikra zangu kutokana na specification za laptop zote mbili bila shaka LENOVO ni mshindi
 
Wakuu naomba msaada ktk hili; nilikutana na lenovo x300 ikiuzwa nikaipenda kwa properties zake( 2GB RAM, 200 GB Hard disc, wecab, dvd burner etc) nikamnunulia ndg yangu lakini yeye hakuipenda kwa mwonekano wake so how about ubora wake? kwa kuwa me c mtaalamu naomba mnijuze ikoje.
 
Back
Top Bottom