Wino wa printer ya Hp deskjet

Wino wa printer ya Hp deskjet

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,145
Wakuu nna printer ambayo ina siku mbili tu. Walinipa wino wa kuanzia<cartridge>, lakini cha ajabu umetoa copy zisizozidi 40. Je naweza tumia wino wa maji? Kama ni ndiyo, nitaweka kwenye hzi cartridge?
 
Ukiweka wino wa maji utaiua printer yako.mimi naweza kukusaidi kupata wino mwingine mpya wasiliana na mimi 0718164448
 
Back
Top Bottom