Shutdown vs Hibernate the pc | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shutdown vs Hibernate the pc

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by KWETU PAZURI, Dec 23, 2011.

 1. K

  KWETU PAZURI Senior Member

  #1
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wakuu kuna madhara gani ya kuzima pc kwa ku-hibernate badala ya ku-shutdown?
   
 2. E

  Elai Senior Member

  #2
  Dec 24, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Shutdown ni kuzima kabisa PC yako, kwa lengo la kutoitumia tena wakati huo. Hibernation inalingana na standby, ni kwa ajili ya kubana matumizi ya umeme unapopumzika kidogo kwa lengo la kuendelea na kazi muda mfupi baadaye. Uzuri wa hibernation na standby ni kuwa utakaporudi kuendelea na kazi uta press power button na mara moja itawaka. Tofauti na ku shutdown, itachukua muda kuwaka kwa ajili ya ku boot. Hibernation inabana matumizi ya umeme zaidi ya standby. Kumbuka hibernation siyo kwa ajili kuzima PC, ila ni kwa ajili ya kuiweka katika hali ya kulala na utakapo rudi kuendelea na kazi mara moja itawaka. For details, google. Nawakaribisha wataalamu.
   
 3. K

  KWETU PAZURI Senior Member

  #3
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  so ningependa kujua madhara ya kuzma kwa style ya hibernation.
   
 4. E

  Elai Senior Member

  #4
  Dec 24, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tusubiri wataalamu, lakini ninavyofahamu njia sahihi ya kuzima PC yako ni kupitia shutdown.
   
 5. String Theorist

  String Theorist JF-Expert Member

  #5
  Dec 24, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 203
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  HIBERNATION.
  Means saving your your session and "TURN OFF" the computer. when you turn on computer, windows restores your session. kwa maana hiyo hapo unakuwa umesave kila kitu(all apps and services) kilochukuwa kwenye RAM card zako/yako, ili ukiturn on.... kila process inaanza at the same time.
  MADHARA YA HIBERNATION.
  Hii mishe inaconsume some memory spaces za hard disc yako(unaweza kuchek ni kiasi gani cha memory kimepotea kwa kutumia "disk cleaner"(search kwenye start andika "disk" utaiona)iliyo kwenye pc yako)
  USHAURI.
  Hibernation ni nzuri sana hasa kwa watu walio bussy and faster kwenye kazi zao, hasa ukuzingatia na boot time ya pc yako kama ni kubwa(more than 46 seconds for turning on the pc). kama HD(hard disk) yako ina memory ndogo... ni vyema uwe unafanya disc cleanup mara kwa mara.
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Dec 24, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Hibernation pia inazima PC ila kabla ya kuzima inachukua kila kitu kilicho kwenye RAM na kukihifadhi kwenye HD, ndo maana inaanza haraka next time, inachukua kutoka kwenye HD na kurudisha kwenye RAM unaendelea pale pale. Kwa hiyo hakuna tofauti ya matumizi ya umeme kati ya Shutdown na Hibernation.

  Kwa mleta mada hakuna "madhara" ya kutumia Hibernation, yangekuwepo Microsoft wasingeiweka, mimi always natumia Hibernate kwa sababu ya spidi ya kuwaka na pia kila kitu kinarudi pale pale ulipokiacha, ninapofanya shutdown ni kwa ajili ya Windows updates tu.
   
Loading...