Ofa ya airtel imekwisha?

mshihiri

Senior Member
Jul 15, 2011
138
86
WADAU ILE OFA YA USIKU YA NETI MB2OO YA AIRTEL IMEKWISHA AU VP? MANAKE LEO NAONA LINE YANGU MB ZINALIWA TU:shock::A S embarassed:
 
Me naona Airtel washagundua kwasababu jana wamenitumia message wakasema kwamba ofa ya internet bure usiku itasitishwa kuanzia tarehe 24 mwezi huu kwa ajili ya ofa zaidi,lakini watakuwa wameshaisitisha kabla
 
ME walisha ni2mia msg wakitaarifu kwamba kuanzia terehe 24/12/2011 hakutakuwa na offer hiyo na watatoa offer nyingine so stay tuned.
 
Airtel wamenitumia msg kunitaarifu kuwa kuanzia tarehe 24/12/2011 OFA ya internet ya usiku itasitishwa ili kutoa nafasi kwa OFA mpya na kabambe zaidi
 
Back
Top Bottom