window 7 CD

mojoki

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
1,314
290
Nataka kubadilisha OS kwenye my laptop kutoka window XP to window 7
Sababu: Hii window XP kama imekaa kizaman zamn afu imecorrupt ama kuna file zimemiss so inazingua...
Msaada:Nani anaweza niazima CD ya window 7 au hata kama kuniuzia niwezeku install kwa laptop yangu...Nawasilisha wakuu wa kambi.
napatikana dar es salaam kitaa cha sinza.
 
Uko wapi?
 
kama unamda kesho ni pm manake kuna pc 1 hv nitaweka window 7 kama vp njoo na ww nikuwekee.nipo kimara mwisho
 
We uko Kimara mwisho unaenda kuporwa laptop yako... We sema nikufuate sinza nije kuifanya hiyo kazi kwa tsh 30,000 tu.
 
haha! Kaah watu mnapenda hela. Kwanin mnashindwa msadia mwenzenu bila cost yoyote watu bana. Kwan wewe inakucost nin kumwazima mwenzako Cd au better yet kumcopia kwan yeye hajui kuiweka na kaomba msaada ya kuekewa au kuazimwa CD?
 
nataka kubadilisha os kwenye my laptop kutoka window xp to window 7
sababu: Hii window xp kama imekaa kizaman zamn afu imecorrupt ama kuna file zimemiss so inazingua...
Msaada:nani anaweza niazima cd ya window 7 au hata kama kuniuzia niwezeku install kwa laptop yangu...nawasilisha wakuu wa kambi.
Napatikana dar es salaam kitaa cha sinza.

naweza kukusaidia bosi ninayo hyo cd ya windows 7 ninaiuza kwa shilling elfu tano tu(5000/=)nipigie 0718164448 kama unaitaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom