Salute kwenu wakubwa, ninamkanganyiko na hii moderm (zte: ya vodafone) yangu, pindi ninapo ichomeka kwenye laptop yangu inaanza mchakato ikitaka kufunguka inaandika "rolling back" alafu inarudinyuma na kujifuta. Nimejaribu mara kadha bila mafanikio, NAOMBENI YULE MWENY WELEDI NALO HILI ANIJUZE, kwani hii intanet n'kitu feruzi kwangu.