Kujiajiri kwa kutumia laptop yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kujiajiri kwa kutumia laptop yangu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by KWETU PAZURI, Dec 23, 2011.

 1. K

  KWETU PAZURI Senior Member

  #1
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wakuu nawezaje kuitumia laptop yangu kujipatia kipato pindi nitakapokua mtaani baada ya kumaliza chuo?
   
 2. i

  iMind JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 1,907
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  Inategemea unajua nini. laptop ni tool tu ya kufanyia kazi.
   
 3. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  inawezekana mkuu inategemeana.

  kwani wewe unaonaje?
   
 4. LOOOK

  LOOOK JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,392
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kuingizia nyimbo kwenye cm..
   
 5. m

  mzee wandimu JF-Expert Member

  #5
  Dec 24, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mkuu nikweli make minilipokuwa likizo nilitumia kuwahamishia watu nyimbo hasa kule kijijini kwetu wimbo mmoja mia5!
  ila kwa twn madogo wengi wanafanya hizo dili!
   
 6. Muce

  Muce Senior Member

  #6
  Dec 24, 2011
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  utaitumia hata kuburn cd vile vile internet hasa kipindi cha matokeo na appl. Ya vyuo vkuu.
   
Loading...