msaada window 7 inasema temporary desktop kila nikizima na kuwasha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada window 7 inasema temporary desktop kila nikizima na kuwasha

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by wa kutambua, Nov 17, 2011.

 1. wa kutambua

  wa kutambua Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  msaada window 7 kila nikizima na kuwasha haisave changes inasema temporary desktop yaani hata nikisave kitu ktk desktop nikiwasha kinafutika na pia screen saver vile vile.
   
 2. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Unatumia antivirus gani? umesha scan kama kuna virus?
  Nahisi unaweza kuwa umeshambuliwa na kirusi
   
 3. Shut Down

  Shut Down Member

  #3
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I like pirate...
   
 4. N

  NAPSTAR JF-Expert Member

  #4
  Dec 25, 2011
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 769
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unahitaji anti virus na mi ninayo the latest 2011 antivirus
   
Loading...