Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wadau nisaidieni kutoa avast kwenye laptop,nimeenda control panel kuliko programs sijaiona.Sijajua itakuwa wapi,msaada plse! Nawasilisha!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu nimeikopi toka kule Twitter kuna watu walikuwa wanaijadili Hii hapa!! Burekingi Nyuzi: Kama unapenda kupiga simu za bure tumia viber, unahitaji 3G enable handset or wifi kwa simu...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
updates zikianza kuinstall tu inajiandika "couldn't install in usb or sd memory"nifanyeje?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tafadhali naomba msaada wenu kuhusu kuinstall airtell modem kwenye ubuntu 10.04 Natanguliza shukrani zangu kwenu....
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wadau naombeni mnisaidie jina au link ambayo naweza pata software ambayo itaniwezesha tumia modem yangu yoyote iwe ya airtel, tigo au voda bila kufaya unlock.nlikuwa nayo ila nimeisahau jina na...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Natamani kuangalia Movies Through Netflix Ila Napata Kikwazo cha Ku install SILVERLIGHT Kila mara naambiwa Installation Failed nikibonyeza info nakutana na hii Message " Message ID: 1622The...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Salute kwenu wakupwa, ninamkanganyiko na hii moderm (zte: ya vodafone) yangu, pini ninapo ichomeka kwenye laptop yangu inaanza mchakato ikitaka kufunguka inaandika "rolling back" alafu...
0 Reactions
0 Replies
737 Views
Naomben msaada niko na phone,screen touch aifanyi kazi tena,tatizo ni lipi?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
:alien:wakuu wa hili jukwaa ,heshima yenu! nimekadownload haka kasoftware ile kanamaliza kakaliwa na antivirus,natumia ms security esseciantials. so hii inamaanisha kana matatizo au nini? msaada...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Salaam! &lt;br /&gt;<br /> Nahitaji msaada wenu wakuu modem yangu ya ttcl inagoma ku connect kila ninapoichomeka inanipa message ''error 777: The connection attempt failed because the modem or...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Kuna post iliwekwa hapa na member mmoja wa JF "Sizinga" ikieleza namna ya kupata Windows XP CD key kutoka kwenye CD yenyewe. Kwa anaye fahamu namna ya kupata key kutoka kwenye CD ya Ms office 2000...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
<span style="color: rgb(51, 51, 51); font-family: arial, sans-serif; line-height: 18px; text-align: left; background-color: rgb(235, 235, 235); "> Demonstration of a Windows 7 hosted desktop...
0 Reactions
1 Replies
871 Views
habari wana JF .Naomba Msaada wa service pack 2 activation key au crack yake
0 Reactions
3 Replies
2K Views
mimi nina server the intel shida yake ni kwamba unapoiwasha itawaka kwa muda wa dakika 5 au mbili halafu inawaka taa ya red ikiwa inamanisha kuna tatizo lakini limejaribu ku clear bios bado tatizo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
najaribu kucheza game ya need for speed run, napata error Dxgi-error-unsupported,nimeshaupdate display drivers,laptop specs zipo juu,ila game ndo halitaki kuplay, msaada please
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari wadau. Ninampango wa kununua video camera, sasa naomba wadau mnaojua camera nzuri ya bei ndogo na inayotoa kazi nzuri, aina ya camera na ubora wake iwe mpya.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jinsi ya kuondoa tatizo la kukatika katika kwa muziki kwenye you tube. tafadhalini.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
THE government will spend over 300bn/- on laying the national fibre-optic network, the Minister of Communications, Science and Technology, Prof Makame Mbarawa, has said. The minister said the...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
NASA's Kepler space telescope has found two new planets orbiting a distant sun-like star, and the researchers who made the find say these two are the size of Earth or smaller. That's a first in...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu hivi hali ya hizo fani au sijui nizeme vipaji au urithi wa teknolojia kwa baadhi ya makabila Tanzania upo au unapotea na kuteketea. Kwenye mkutano wa rais JK na vyaa vya upizani pale...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom