erique
JF-Expert Member
- Apr 23, 2010
- 587
- 579
Wakuu habari za j2,
Nahitaji kuwa na uwezo Wa kuona chanel tofauti tofauti kwa TV ya chumba kimoja na chumba kingine.
Yaani, kinga'amuzi kiwe kimoja, lakini kiunganishwe na TV 2 za vyumba tofauti, kisha mtu akiwa chumba kimoja awe anauwezo Wa kuangalia chanel tofauti na inayoangaliwa kwenye chumba kingine.
Naamini wataalam watakuwa wamenielewa, je hilo linawezekana? Nahitaji kuwa na kifaa gani? Wapi ntapata mtaalamu Wa kunisaidia hilo hapa dar es salaam?
Leteni maujuzi wakuu